Wiki:Jinsi ya...

Wiki:Jinsi ya...Jifunze na Fundisha kufanya chochote hapa

+ Karibu ujifunze na kufundisha kufanya chochote.

Nia yetu ni kusaidia na kuwarahisia watumiaji wa Kiswahili kujua jinsi ya kufanya mambo mbalimbali. Tunahitaji ushirikiano wako na tunakuomba sana usiache kuandika kuhusu mada yoyote kila unapotembelea tovuti hii ili uweze kuwawezesha watumiaji wa Kiswahili kujua kufanya mambo mbalimbali ya aina yoyote kama kijamii, kiuchumi, Sayansi, Tekinolojia, Maisha na nyingine nyingi.

Ukitembelea tovuti hii unaweza kuandika chochote na kuhariri chochote katika ukurasa wowote

MAMBO UNAYOWEZA KUYAFANYA HAPA NI KAMA IFUATAVYO;

  • Kujifunza kufanya chochote na kufundisha kufanya chochote
  • Kusoma kurasa yoyote uliyoandika wewe au mtu mwingine yoyote
  • Kuandika kurasa au mada mpya kuhusu mada yoyote unayoitaka
  • Kuhariri (edit) kurasa yoyote yenye mada yoyote ya jinsi ya..
  • Kujiunga na majadiliano (forum)
  • Kujadili mada uipendayo ya jinsi ya..

KUJIFUNZA KUFANYA CHOCHOTE NA KUFUNDISHA KUFANYA CHOCHOTE NA KUSOMA KURASA YOYOTE ULIYOANDIKA WEWE AU MTU MWINGINE YOYOTE

Unaruhusiwa kusoma chochote kilichoandikwa kwenye tovuti hii kuhusu mada yoyote ile na kufundisha kuhusu mada yoyote ile inayohusiana na jinsi ya kufanya jambo Fulani.

Kwa hiyo, unakaribishwa sana kusoma na kuandika chochote na unasisitizwa sana kila mara unapotembelea tovuti hii usiache kuandika madayoyote ile unayoipenda kuhusu jinsi ya kufanya chochote. Tunaamini kua kila mtu anajua kuhusu kufanya mambo mbalimbali, na anao uwezo wa kufundisha wengine napia kila mtu anaufahamu tofauti, kwahiyo basi, hii ni Nafasi yako wewe ya kuandika kile unachojua kwa kiasi chako na wengine wataongeza pale ulipo ishia, Kwa njia hii tutaweza kujua na kuelewa mambo mengi kuhusu mada mbalimbali.

Ili kufikia malengo yetu, tunakuomba na kukushauri wewe uliyebahatika kutembelea tovuti hii Kurudi tena katika tovuti hii kila mara unapoona unaotaka kufundisha kuhusu kufanya chochote na kuwa na desturi ya kuandika katika tovuti hii mara nyingi uwezavyo
KUMBUKA
Sio lazima ujiunge (log in) ili uweze kuandika na kuhariri

KUANDIKA KURASA AU MADA MPYA
Unapotaka kuandika mada pya unaingiza kichwa cha habari cha mada yako kwenye kaboksi Ingiza kichwa cha Kalikoandikwa Ingiza mada yako mpya hapa chini kwenye kaboksi kisha bofya chini yake . chini ya ulipoingiza Kichwa cha mada.

Utapelekwa kwenye ukurasa wa kuandikia kisha utaandika mada yako na unaruhusiwa kuweka picha na unasisitizwa kuweka picha ili watu waelewe zaidi.

KUHARIRI (EDIT) KURASA YOYOTE YENYE MADA YOYOTE YA JINSI YA..
Ukitaka kuhariri au kuediti, unabofya palipoandikwa edit chini ya ukurasa unaotaka kuhariri kisha utaendelea Kuongeza kuandika kama unavyoona ni sahii zaidi.

Kujiunga na majadiliano (forum) na Kujadili mada uipendayo ya jinsi ya..
Ingia kwenye forum au majadiliano ili kujua zaidi

Ni matumaini yetu kuwa utashirikiana nasi katika kufundisha uma kuhusu kufanya mambo mbalimbali.

ANZA WEWE LEO UWAAMBIE NA WENGINE

Comments